Jinai za Saudi Arabia
TEHRAN (IQNA)- Ufalme wa Saudia inatumia vibaya kimya cha madola makubwa na jamii ya kimataifa, kuzidisha kukata vichwa watu kwa visingizio tofauti kiasi kwamba, idadi ya watu waliotekelezewa adhabu ya kifo na ukoo wa Aal Saud mwaka huu, tayari hivi sasa ni maradufu ya waliokatwa vichwa mwaka jana nchini humo.
Habari ID: 3476122 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/20